counters

First Lady of the week

First Lady of the week
Thobeka Madiba Zuma (First Lady of South Africa)

Thursday 18 July 2013

Ana Paula dos Santos

Ana Paula Cristovao Lemos dos Santos ni mke wa rais wa Angola Bwana Jose Eduardo dos Santos. Ana Paula dos Santos amezaliwa mnamo tarehe 17 October mwaka 1963, Luanda Angola na ni mama wa watoto 3, Eduane Danilo dos Santos aliyezaliwa mnamo tarehe 29 September mwaka 1991, Joseana dos Santos aliyezaliwa mnamo tarehe 5 April mwaka 1995 na Eduardo Breno dos Santos aliyezaliwa mnamo tarehe 2 October mwaka 1998.

Ana Paula dos Santos alikuwa ni fashion model na air hostess (muhudumu wa kwenye ndege) wa ndege ya rais wa Angola. Alikutana na mumewe rais Jose Eduardo dos Santos wakati akiwa air hostess wa ndege ya rais wa Angola na walioana mnamo tarehe 17 May mwaka 1991.

Ana Paula dos Santos alipata degree yake ya kwanza ya ualimu kutoka National Institute of Education Luanda mnamo mwaka 1994 na baadaye alipata degree ya sheria kutoka kitivo cha Sheria katika chuo kikuu cha Agostinho Neto kilichopo kwenye mji mkuu wa Angola Luanda.

First Lady wa Angola, Ana Paula dos Santos

No comments:

Post a Comment